SIMON KITURURU- MAWAZONI
-
MATATIZO ya MBUZI na BATA kwa mtazamo wa BINADAMU!
Posted: February 9, 2010, 3:44 am by SIMON KITURURU
Labda haki za MBUZI na BATA jinsi zinavyokanyagwa,....... ukimpata BINADAMU mtetezi ajuaye kuelezea,....
.... waweza kuamini NI KWELI kuna BINADAMU ajuaye MATATIZO hata ya KUKU kuliko hata KUKU mwenyewe.:-(
Swali:- Si unajua LAKINI kuna uwezekano mkubwa KUKU na JOGOO hawafikirii kama BINADAMU hata katika mapenzi yao kibandani?
Na wakati kwa BINADAMU imefikia kuna BINADAMU anakuhakikishia kuwa ANAJUA tatizo la MBUZI wasiyezungumza LUGHA MOJA ni kwamba anaumwa KICHWA kwa KUWAZA LEO MAJANI ATAPATA WAPI kwa kuwa matatizo ya WANYAMA anayaelewa,.....
.... waweza kujikuta bado unajikanyaga kumuelewa BINADAMU HUYO ambaye mnazungumza LUGHA MOJA kama tu Mtakatifu Simon Kitururu asiyejua KUNENA KWA LUGHA kwa yake ya KIBINADAMU ,...
....nakutomuelewa mtu ANAONGELEA NINI wakati huohuo wakati ayaongeayo ni ya MWANADAMU na vipengele ANYAMBULISHAVYO ni vile vimgusavyo BINADAMU.:-(
Na labda UKIFIKIRIA tatizo kubwa la BINADAMU ni kuelewa,.........na jinsi tu MTU anavyoelewa aweza kujigundua alivyo MNYAMA ingawa kwa jina tu na muonekano ndio watu wanatafsiri kuwa ni BINADAMU.:-(
Swali:- Unafikiri BINADAMU anatabia ya KIBINADAMU?
- Unafikiri UBINADAMU unaruhusu BINADAMU kuelewa MATATIZO ya BINADAMU mwingine?
- Unafikiri UBINADAMU unaruhusu BINADAMU kumuelewa BATA?
- Ushawahi kufikiria hivi BINADAMU kwa wastani ana- matatizo mangapi na ya aina ngapi tukiachilia mbali tatizo la kuelewa binadamu MAISHANI?
- Ushawahi kufikiria kuku huwa anafikiria nini?
- Unafikiri najua unafikiria nini?
Sikatai,.......labda BINADAMU anaelewa MATATIZO ya MBUZI na BATA kuliko MBUZI na BATA ....hasa UKIFIKIRIA kuwa UKWELI wenyewe wa BINADAMU na anachoelewa kama jaji ni BINADAMU utaeleweka KIBINADAMU tu.:-(
Na kwa bahati mbaya kielewekacho KIBINADAMU ndio mara nyingi kimshangazacho BINADAMU,...
...na kiwezacho kumshangaza BINADAMU kinaweza kuwa;....
..... NI kweli, - BINADAMU huelewa zaidi YA MBUZI na BATA MJAMZITO kuliko hata ya BINADAMU wakawaida tu wakutananaye KILA SIKU ambaye wala hata busha la kike hana na LUGHA yake ya matanuzi ni KISWA- HILI.:-(
Swali:- Unafikiri NYAU hamuelewi BIN -ADAMU ki -PAKA SHUME?
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
HEBU tu katika kubadili hali ya hewa KIJIWENI Maestro Dekula KAHANGA Vumbi arudishe gitaa katika -MAKUMBELE
NGUZA VIKING alete pia kitu- Ni wewe PEKEE
Au tu Papi Kocha na Nguza Viking warudishe- SEA
-
HACKED!- SAMAHANI blogu HII imeingiliwa na WAJANJA!
Posted: February 9, 2010, 3:06 am by SIMON KITURURU
Kwa wadau wa BLOGU hii mnaweza kustukia tokea jana KUNA POST za MATANGAZO ya aina MBALIMBALI kuanzia VIAGRA , Komputa parts na FAKE rolex yanatokea kama POST hapa .
NA NAPENDA KUTAARIFU sio mimi naye POST HAYO.:-(
NAHANGAIKIA SWALA na ningeshukuru kwa yeyote mwenye ushauri wa KUTATUA SWALA HILI!
Samahani kwa aliyedundishwa roho , ..........atakayedundishwa roho KWA HILO,....
.......au lolote la ajabu litakalojitokeza wakati nahangaikia KUTATUA hii kitu roho haipendi.:-(
ASANTENI WOTE!
Ni miye mwaniwani,
- Simon Kitururu.
Sijui kwanini leo Rythm & BLUES iko sana masikioni mwangu ,...
...na kama humaindi hawa hapa BB King, Billy Preston na Bruce Willis katika -Sinners Prayer
Au tu John Lee Hooker arudie tu -ONE bourbon, ONE scotch, ONE beer
Blah blah blah
Fish cakes
Alas a fish cake.
Yet more fish cakes
Guess what ... yeah ... fish cakes.
The end of the fish cakes